Binamu yake Haland ni balaa lingine ambalo hukulijua.
Unajua kafanya nini?
Amecheza mechi 37...
Ndani ya mechi 37 unajua kashinda goli ngapi?
Ameshinda goli 64
Wewe unamuongeleaje binamu yake na Haland?
Blog pendwa ndani na nje ya nchi ya nje ya nchi ya Tanzania iliyo na mambo mbali mbali kama habari (zote za kitaifa, kimataifa, biashara na michezo) pia ni site ambayo forex traders wanaweza wakapata free signals na link za magroup mbali mbali ya telegram pia na whatsapp, pia wanafunzi wote kuanzia level ya kindergarten mpaka chuo wanaweza pata materials tofauti tofauti, ukiwa hapa utapata kila kitu ila please, hide my ID
Binamu yake Haland ni balaa lingine ambalo hukulijua. Unajua kafanya nini? Amecheza mechi 37... Ndani ya mechi 37 unajua kashind...
No comments:
Post a Comment
type your message here